Karamu Ya Mwisho
Karamu Ya Mwisho | |
---|---|
Performed by | - |
Category | Ekaristia (Eucharist) |
Views | 4,073 |
Karamu Ya Mwisho Lyrics
- Karamu ya mwisho ya Bwana Yesu
Aliketi na wanafunzi wake kwa huzuniYesu aliwaambia Mmoja wenu atanisaliti *2
Alitoa mkate akaumega
Kuleni kuleni huu ndio mwili wangu
Alitoa kikombe akashukuru
Kunyweni hii ndiyo damu yangu - Gethisemani Yesu alianguka kifudifudi kisha akaomba
Akasema Bwana kikombe hiki kwa mapenzi yako kiniepuke - Golgotha Yesu alianguka kifudifudi na kisha akaomba
Mkombozi Yesu alitolewa mwanadamu apate kuokoka