Karamu Ya Mwisho

Karamu Ya Mwisho
ChoirTBA
CategoryEkaristia (Eucharist)

Karamu Ya Mwisho Lyrics

 1. Karamu ya mwisho ya Bwana Yesu
  Aliketi na wanafunzi wake kwa huzuni

  Yesu aliwaambia Mmoja wenu atanisaliti *2
  Alitoa mkate akaumega
  Kuleni kuleni huu ndio mwili wangu
  Alitoa kikombe akashukuru
  Kunyweni hii ndiyo damu yangu

 2. Gethisemani Yesu alianguka kifudifudi kisha akaomba
  Akasema Bwana kikombe hiki kwa mapenzi yako kiniepuke
 3. Golgotha Yesu alianguka kifudifudi na kisha akaomba
  Mkombozi Yesu alitolewa mwanadamu apate kuokoka