Karibu Moyoni Mwangu

Karibu Moyoni Mwangu
Performed byMoyo Safi (Unga Ltd)
CategoryEkaristia (Eucharist)
ComposerD. J. Mallya
Views22,563

Karibu Moyoni Mwangu Lyrics

  1. Karibu moyoni mwangu (Bwana),
    Karibu nakukaribisha (sana)
    Karibu moyoni mwangu karibu karibu Bwana

  2. Karibu moyoni mwangu, karibu uungane nami
    Karibu moyoni mwangu karibu karibu Bwana
  3. Unipe uzima wako, unipe na furaha yako
    Karibu moyoni mwangu karibu karibu Bwana
  4. Unipe na pendo lako, unipe tumaini lako
    Karibu moyoni mwangu karibu karibu Bwana
  5. Uniimarishe Bwana, katika njia yenye haki
    Karibu moyoni mwangu karibu karibu Bwana
  6. Karibu siku ya leo, karibu nakukaribisha
    Karibu moyoni mwangu karibu karibu Bwana