Kifo Kimeshindwa
| Kifo Kimeshindwa | |
|---|---|
| Performed by | - |
| Category | Pasaka (Easter) |
| Views | 3,136 |
Kifo Kimeshindwa Lyrics
- Kifo , kifo, kifo (kimeshindwa *3) aleluya
Aa Ameni ameni ameni [Uu] alibingirisha jiwe,
Kubwa sana kaburini, Kwelialishinda mauti - Juda Juda Juda alisema Bwana Yesu, asulubiwe akafa
- Ewe ndugu yangu uje leo Bwana Yesu, akuita uje leo