Kila Mwenye Pumzi
| Kila Mwenye Pumzi | |
|---|---|
| Performed by | Our Lady of Fatima Kongowea | 
| Album | Kila Mwenye Pumzi (vol 4) | 
| Category | Entrance / Mwanzo | 
| Views | 10,797 | 
Kila Mwenye Pumzi Lyrics
- Aleluya, aleluya, aleluya, aleluya *2
 Kila mwenye pumzi, na amsifu Bwana *2
- Msifuni Mungu katika patakatifu pake,
 Msifuni katika anga la uweza wake *2
- Msifuni Mungu kwa matendo yake makuu
 Msifuni kadiri ya wingi wa ukuu wake *2
- Msifuni Mungu kwa mvumo wa baragumu
 Msifuni sifuni kwa kinanda na kinubi *2
- Msifuni Mungu kwa matari na kucheza
 Msifuni sifuni kwa zeze na filimbi *2
- Msifuni Mungu kwa matoazi yaliayo
 Msifuni sifuni kwa matoazi yavumayo *2
 
  
         
                            