Kila Penye Ngoma
Kila Penye Ngoma | |
---|---|
Performed by | Kwaya Kuu ya St. Cecilia Arusha |
Album | Bwana Kafufuka |
Category | Harusi |
Composer | A. S. Haule |
Views | 7,378 |
Kila Penye Ngoma Lyrics
{ Kila penye ngoma, hapakosi chereko (chereko)
Na kila penye chereko chereko
Zawadi zawadi hazikosi } *2
{ Twendeni sasa kwa Bwana mfufuka
Aliyeyashinda mauti mzima kweli
Zawadi zawadi tukatoe } *2
{ Haya twende twende twende
Zawadi tumwage tumwage
Kwa Bwana aliyefufuka, fufu-ka } *2- Watu hutoa zawadi nzuri tena za kutamanisha
Siku siku ya harusi, siku ya ngoma
Je mimi nitatoa nini hata kikupendeze
Siku siku ya kufuka, siku ya leo - Bwana simama kwa chereko, nyimbo ngoma na vigelegele
Siku siku ya kufuka, siku ya leo
Nawe jirani twende tukatoe hata kidogo usisite
Siku siku ya kufuka, siku ya leo