Kitambo Lilitokea Jambo

Kitambo Lilitokea Jambo
Performed by-
CategoryTafakari
Views2,594

Kitambo Lilitokea Jambo Lyrics

  1. Kitambo kitambo lilitokea jambo,
    Tena jambo kubwa*2
    Bwana Yesu alisulubiwa tena akafa
    Ili atimize ahadi ya ukombozi wetu
    Uko wapi ndugu yangu fanya hima uokolewe
    Kitambo leo iishe kubali sasa yaishe*2

  2. Kitambo usimame, kitambo ukae
    Badilisha mwenendo wako fanya hima uokolewe
  3. Haujachelewa, kuwa imara
    Mungu bado akupenda una dhambi sasa katubu
  4. Unangoja nini, kataa dhambi
    Miaka yaenda mbele fanya hima uokolewe