Kristu ni Yule Yule

Kristu ni Yule Yule
Performed by-
CategoryEkaristia (Eucharist)
Views4,991

Kristu ni Yule Yule Lyrics

  1. Kristu ni yule yule, Kristu ni yule yule, yule yule,
    (jana na leo) na hata milele*2

  2. Yeye ndiye aliye hai, ndiye aliyeko,
    Aliyekuwako na atakayekuja
    Bwana wa nyakati zote
  3. Karne zote ni zake yeye,
    Utukufu wake hapa duniani,
    Na enzi yake yote daima milele yote