Kristu ni Yule Yule

Kristu ni Yule Yule
ChoirTBA
CategoryEkaristia (Eucharist)

Kristu ni Yule Yule Lyrics

Kristu ni yule yule, Kristu ni yule yule, yule yule,
(jana na leo) na hata milele*2

  1. Yeye ndiye aliye hai, ndiye aliyeko,
    Aliyekuwako na atakayekuja
    Bwana wa nyakati zote
  2. Karne zote ni zake yeye,
    Utukufu wake hapa duniani,
    Na enzi yake yote daima milele yote