Kuhani Hata Milele
| Kuhani Hata Milele | |
|---|---|
| Performed by | St. Paul Students' Choir (University of Nairobi) | 
| Album | Milele Milele Msifuni (Vol 1) | 
| Category | Zaburi | 
| Composer | J. C. Shomaly | 
| Views | 4,736 | 
Kuhani Hata Milele Lyrics
NDIWE KUHANI
- [b] Ndiwe kuhani hata milele -
 [w] kuhani hata milele
 [b] Kwa mfano wake Melkisedeki -
 [w] kuhani hata milele
 [t] Kuhani - kuhani hata milele *2
 (a] Kuhani - kuhani hata milele,
 kwa mfano wake Melkisedeki
 [b] kuhani - kuhani hata milele
- Yesu Kristu ndiye mchungaji
 Huwalisha kondoo, wakati wake
- Huwatengeneza yatima
 pia nao wajane, kwa wema wake
- Nitamwimbia Mungu wangu
 ametukuka sana, Bwana wa vita
 
  
         
                            