Kuleni Mwili Wangu

Kuleni Mwili Wangu
Performed by-
CategoryEkaristia (Eucharist)
Views6,103

Kuleni Mwili Wangu Lyrics

  1. Kuleni mwili wangu, kunyweni damu yangu
    Mtaishi milele asema Bwana *2

  2. Mimi ndimi chakula, chakula cha uwingu,
    asema Bwana
  3. Mimi ndiye kinywaji kitokacho mbinguni
  4. Mimi ndiye uzima ushukao mbinguni
  5. Mimi ndiye faraja itokayo mbinguni
  6. Mimi ni njia kweli, iendayo mbinguni
  7. Wote wajao kwangu nitawapa tulizo
  8. Yeye ajaye kwangu atapata uzima
  9. Kaeni ndani yangu nami nikae kwenu milele