Kuna Vitu Sita

Kuna Vitu Sita
Alt TitleMachukizo Saba
Performed byMaria Mt Mama wa Mungu Musoma
AlbumMatumaini ya Safari
CategoryZaburi
ComposerMarcus Mtinga
Views5,784

Kuna Vitu Sita Lyrics

  1. { Kuna vitu sita (sita) anavyovichukia Bwana
    Naam viko saba vilivyo chukizo kwake } *2
  2. Macho ya kiburi, ulimi wa uongo *6
  3. {Na mikono, mikono imwagayo, imwagayo damu isiyo na hatia
    Na mikono imwagayo damu isiyo na hatia } *2
  4. Moyo uwazao mawazo mabaya *3
  5. Miguu myepesi kukimbilia maovu *4
  6. { Shahidi wa uongo asemaye uongo *3
    Anamchukiza Bwana } *2
  7. {Naye apandaye mbegu za fitina kati ya ndugu wapendanao,
    Ni chukizo kwa Bwana } *2