Kwa Maji Matakatifu
| Kwa Maji Matakatifu | |
|---|---|
| Performed by | - | 
| Category | Entrance / Mwanzo | 
| Views | 3,618 | 
Kwa Maji Matakatifu Lyrics
- Kwa maji matakatifu Baba tubariki
 Tubariki Baraka toka kwa Mungu Baba *2Inueni mioyo, pazeni sauti mpate Baraka *2
- Kwa maji matakatifu Mwana tubariki
 Tubariki Baraka toka kwa Mungu Mwana *2
- Kwa maji matakatifu Roho tubariki
 Tubariki Baraka toka kwa Mungu Roho *2
- Baraka hizo mkae nazo kwani
 Kwani Kristu Kristu alipenda kanisa *2
 
  
         
                            