Kwa nini Malumbano
Kwa nini Malumbano | |
---|---|
Performed by | St. Paul Students' Choir (University of Nairobi) |
Album | Mshike Mshike (Vol 5) |
Category | Tafakari |
Composer | Jerome M. |
Views | 4,706 |
Kwa nini Malumbano Lyrics
{ Mbona watu wa mataifa wanafanya ghasia (ghasia)
Na kuivuruga amani kati ya mataifa } *2
{
/b/ Kwa nini vita na malumbano viwepo,
Amani imetoweka, kwa nini viwepo viwepo,
kwa nini vita kwa nini vita viwepo kati yetu
Sisi tulio kweli watoto wake Baba mmoja
/t/ Kwa nini vita na malumbano viwepo kati yetu,
sisi tulio kitu kimoja kwa nini vita viwepo kati yetu
Sisi tulio kweli watoto wake Baba mmoja
/a/ Kwa nini vita na malumbano viwepo
kati yetu kwa nini vita viwepo kati yetu
Sisi tulio kweli watoto wake Baba mmoja
/s/ Kwa nini vita na malumbano vita viwepo kati yetu
Sisi tulio kweli watoto wake Baba mmoja } *2- Babu na bibi hawaelewani,
Baba na mama, Kaka na dada wamefarakana
Wamemsahau Mungu Baba - Bila huruma, wengi wanaua,
Watoto wasio na hatia, mbona wanatupwa,
Sasa hukumu i juu yenu