Kwa Nini Nisimpokee?

Kwa Nini Nisimpokee?
Performed bySt. Antony of padua Magomeni
AlbumTwende Mezani
CategoryEkaristia (Eucharist)
ComposerChaungwa
Views9,281

Kwa Nini Nisimpokee? Lyrics

  1. { Kwa nini nisimpokee,
    Kwa nini nisimpokee Bwana }*2
    { Amenialika kwa karamu yake ya mapendano
    Kwa nini nisiitikie,
    Kwa nini nisimpokee Bwana }*2

  2. Amejiweka katika maumbo ya mkate na divai
  3. Amenialika Mbinguni ni kweli ameniweka tayari
  4. Ni Mungu kweli ingawa hatumwoni tuwe na imani kweli