Kwa Wingi wa Fadhili
Kwa Wingi wa Fadhili | |
---|---|
Performed by | Kwaya Kuu ya St. Cecilia Arusha |
Album | Kando ya Mito |
Category | Thanksgiving / Shukrani |
Composer | Victor Aloyce Murishiwa |
Views | 8,463 |
Kwa Wingi wa Fadhili Lyrics
[s] Kwa wingi wa fadhili zako,
[w] Kwa wingi wa rehema zako
|s| Bwa-na Bwana nikushukuruje Bwana
|a| Nikushukuruje Bwana nikushukuruje
|t| Bwana Bwana Bwana nikushukuruje Bwana
|b| Nikushukuruje mimi nikushukuruje (sasa)
[w] Mimi nikushukuruje Bwana wangu- Nitaimba vipi mimi, wimbo gani niimbe
Nimwimbie kwa furaha na shangwe kubwa - Siku zote ninawaza, kitu gani nimpe,
Kwa maana kila kitu ni mali yako,