Login | Register

Sauti za Kuimba

Kwa Wingi wa Fadhili Lyrics

KWA WINGI WA FADHILI

@ Victor Aloyce Murishiwa

[s] Kwa wingi wa fadhili zako,
[w] Kwa wingi wa rehema zako
|s| Bwa-na Bwana nikushukuruje Bwana
|a| Nikushukuruje Bwana nikushukuruje
|t| Bwana Bwana Bwana nikushukuruje Bwana
|b| Nikushukuruje mimi nikushukuruje (sasa)
[w] Mimi nikushukuruje Bwana wangu

  1. Nitaimba vipi mimi, wimbo gani niimbe
    Nimwimbie kwa furaha na shangwe kubwa
  2. Siku zote ninawaza, kitu gani nimpe,
    Kwa maana kila kitu ni mali yako,
Kwa Wingi wa Fadhili
COMPOSERVictor Aloyce Murishiwa
CHOIRKwaya Kuu ya St. Cecilia Arusha
ALBUMKando ya Mito
CATEGORYThanksgiving / Shukrani
MUSIC KEYA Major
TIME SIGNATURE4
4
SOURCESt. Theresa Cathedral Arusha Tanzania
NOTES Open PDF
  • Comments