Lazima Neno Lihubiriwe
Lazima Neno Lihubiriwe | |
---|---|
Performed by | - |
Category | Injili na Miito (Gospel) |
Views | 3,792 |
Lazima Neno Lihubiriwe Lyrics
(Lazima neno lazima neno
Lazima neno lihubiriwe )*2
Walipomsulubisha Yesu walidhani wameshinda
Lakini ni bure lakini ni bure
lakini ni bure lazima Neno lihubiriwe- Walipomtema mate Yesu walidhani wameshinda
Lakini ni bure lakini ni bure
lakini ni bure lazima Neno lihubiriwe