Leo Ni Furaha

Leo Ni Furaha
Performed by-
CategoryHarusi
Views4,118

Leo Ni Furaha Lyrics

 1. Leo ni furaha kweli, vigelegele za arusi kweli
  Bwana arusi mpende bibi Arusi
  Bibi arusi mpende Bwana arusi
  Mume awe kichwa na bibi
  Kama Kristu kichwa cha kanisa

 2. Nawe mume mtunze mke wako ukijua ni mwili wako
 3. Nawe mke mtii Bwana wako ukijua ni kichwa chako