Leo ni Siku ya Furaha
Leo ni Siku ya Furaha | |
---|---|
Performed by | - |
Category | Entrance / Mwanzo |
Views | 6,915 |
Leo ni Siku ya Furaha Lyrics
- Leo ni siku ya furaha tumwabuduni Mungu *2
[v:] Chezeni kayamba
[w:] Aeeh chezeni ii, chezeni kayamba
Imbeni, misa yetu imeanza
[v:] Chezeni na ngoma - Leo ni siku ya kusali....