Leo ni Siku ya Furaha
Leo ni Siku ya Furaha | |
---|---|
Performed by | - |
Category | Pasaka (Easter) |
Views | 5,228 |
Leo ni Siku ya Furaha Lyrics
- Leo ni siku ya furaha, kila mtu ashangilie
Kristu Yesu kafufuka, ateka adui woteTuimbe aleluya, aleluya tuimbe
Hamo kaburini, tena mauti imeshindwa - Adui hawatatushinda, tutakwenda uzimani
Tunakunywa naye leo, kinywaji kipya milele - Jua mwezi na nyota, viumbe vyote vya Mungu
Vinafurahia leo, mfalme wa uongo kashindwa