Leo Tumepata Mfalme
Leo Tumepata Mfalme | |
---|---|
Performed by | Our Lady of Fatima Kongowea |
Album | Kila Mwenye Pumzi (vol 4) |
Category | Noeli (Christmas Carols) |
Views | 8,214 |
Leo Tumepata Mfalme Lyrics
{ [ v ] Leo tumepata mfalme
[ w ] Leo tumepata mfalme, ndiye mtoto Yesu } *2
{ Utukufu juu mbinguni, na amani duniani (kote)
Kwa watu wenye mapenzi wenye mapenzi mema } *2- Malaika kawambia, wachungaji kondeni
Amkeni upesi, twende Bethlehem - Leo mji wa Daudi, kazaliwa mfalme
Jina lake Emanueli, Mungu pamoja nasi - Malaika kawaambia, wale mamajusi
Kutoka mashariki, kazaliwa mfalme. - Mtaona hiyo nyota, kutoka mashariki
Ndiyo itawaongoza, alipo mfalme.