Lipigieni Mbiu

Lipigieni Mbiu
Performed bySt. Paul Students' Choir (University of Nairobi)
AlbumTazameni Miujiza (Vol 2)
CategoryEntrance / Mwanzo
ComposerJ. C. Shomaly
Views2,889

Lipigieni Mbiu Lyrics

  1. { Lipigieni lipigieni mbiu kubwa, jina lake Bwana,
    Liwafikie wote walio na kiu yake }*2
    { Hubirini amani ya Bwana, amani ya Bwana
    Hubirini upendo, upendo, upendo
    Upendo, upendo wa kweli } *2

  2. Kwa jina la Yesu kila goti nalo lipigwe
    Na vitu vya Mbinguni na vya duniani
  3. Kwa jina la Yesu ndimi zote nazo zikiri
    Yesu Kristu ni Bwana milele yote