Maisha Yangu
   
    
     
         
          
            Maisha Yangu Lyrics
 
             
            
- Maisha yangu Bwana wangu umeyajaza neema
 |s| Hata (nabakia kijana *3) nabakia kama kijana hata
 |a| Hata (nabakia kijana *2) nabakia kama kijana
 |t| Hata nabakia kijana nabakia kijana
 |b| Hata nabakia kijana
 [w] Nabaki kijana mwenye nguvu kama tai
- Ee nafsi yangu umhimidi Bwana,
 Naam vyote vilivyo ndani yangu,
 Vilihimidi jina lake takatifu,
 Ee nafsi yangu umhimidi Bwana,
 Wala usizisahau fadhili,
 Usizisahau fadhili zake zote
- Mhimidi Bwana enyi malaika,
 Nyote nyinyi mlio hodari,
 Nyinyi mnaotenda neno lake Mungu
 Mhimidini Bwana enyi majeshi,
 Nyote nyinyi watumishi wa Bwana,
 Nyinyi mnaoyafanya mapenzi yake