Makusudi ya Moyo

Makusudi ya Moyo
Performed byKwaya Kuu ya St. Cecilia Arusha
AlbumNikiziangalia Mbingu (vol 18)
CategoryZaburi
ComposerFaustine Mtegeta
Views6,392

Makusudi ya Moyo Lyrics

  1. [s] {Makusudi ya moyo wake
    [w] Makusudi ya moyo wake
    Ni kwa kizazi na kizazi} * 2

  2. Yeye huwaponya nafsi zao na mauti
    Na kuwauhuisha wakati wa njaa
  3. Mpigi-eni Bwana vi-gelegele
    Kumsifu kunawapasa wanyofu wa moyo
  4. Mwimbieni Bwana Mungu wenu kwa kinubi
    Na kinanda cha nyuzi kumi mwimbieni sifa