Mama Mzazi wa Mungu
| Mama Mzazi wa Mungu | |
|---|---|
| Performed by | - |
| Category | Bikira Maria |
| Views | 5,617 |
Mama Mzazi wa Mungu Lyrics
- Mama mzazi wa Mungu mama twakushangilia
Wewe ndiwe mama yetu, Mama mwengine hatunaEwe Maria mama, tuombee kwa mwanao
Ewe Maria mama, tuombee kwa mwanao - Maria twakupongeza, kwa kuwa u mama yetu
Tulegeze ukaidi, na tuwe wanyenyekevu - Pale msalabani juu, mwanao kakupeana
Akawambia Yohane, tazama huyu mama yako - Maria anatuonya, kama Mama wa Kanisa
Anasema dunia hii, dunia imechafuka