Mapambo
Mapambo | |
---|---|
Performed by | Kwaya Kuu ya St. Cecilia Arusha |
Album | Haya Tazameni (Vol 21) |
Category | Injili na Miito (Gospel) |
Composer | Fr. Msigwa |
Views | 8,881 |
Mapambo Lyrics
- {Tamkeni tamkeni sifa za Mungu Mwenyezi
Mhimidini himidini jina la Mungu Mwenyezi
Na lipambeni }*2
{ Matendo mema ni mapambo, mapambo, mapambo
Matendo mema ni mapambo, mbinguni na duniani } *2 - Zisemeni zisemeni sifa za Mungu Mwenyezi
Shangilieni shangilia jina la Mungu Mwenyezi,
na lipambeni - Pelekeni pelekeni sifa za Mungu Mwenyezi
Litukuzeni tukuzeni jina la Mungu Mwenyezi,
na lipambeni - Hubirini hubirini sifa za Mungu Mwenyezi
Lishukuruni shukuruni jina la Mungu Mwenyezi,
na lipambeni