Mateso Yake Bwana Yesu
Mateso Yake Bwana Yesu | |
---|---|
Performed by | KKT Mabibo |
Category | Kwaresma na Toba (Lent & Repentance) |
Views | 18,890 |
Mateso Yake Bwana Yesu Lyrics
- Mateso yake Bwana Yesu
Yalikuwa ya taabu nyingi
Lakini Bwana wetu Yesu akayavumiliaAlipokuwa msalabani, alifadhaika sana
Akasema eloi eloi lama sabakithani (Yaani)
Mungu wangu Mungu wangu mbona umeniacha - Pilato aliwauliza nimtendaje mtu huyu
Wayahudi wakamjibu na asulubiwe - Saa sita ilipofika Bwana Yesu alikata roho
Mara nuru ikatoweka kukawa giza nyingi