Mbingu Zimenena
   
    
     
         
          
            Mbingu Zimenena Lyrics
 
             
            
- Mbingu zimenena leo *2
 Na mawingu mawingu oh oh yakammwaga
 Mawingu yakammwaga mwenye hadhi
 Uu uu [uu] nchi ikakombolewa
 Uu uu [uu] Dunia ikatakata
 Uu uu [uu] Mwenyezi akatukuka
 Uu uu [uu] nasi tunakuimbia
 [Naye neno ooh] naye neno
 Alifanyika mwili akakaa kwetu
 [Nasi tukauona utu-]
 Nasi tukauona Utukufu wa Mungu
 io io io utukufu wa Mungu
- Ulimwengu wa raha leo
 Ulimwengu wa raha unashangilia
 Nazo mbi-ingu nazo mbingu nazo
 Mbingu zatabasamu, {zinarukaruka [zina] *2}
 Zina rukaruka kwa shangilio