Mbingu Zimenena
| Mbingu Zimenena | |
|---|---|
| Performed by | St. Paul Students' Choir (University of Nairobi) |
| Album | Ikatetemeka Nchi (Vol 3) |
| Category | Zaburi |
| Composer | J. C. Shomaly |
| Views | 7,805 |
Mbingu Zimenena Lyrics
{ Mbingu zimenena, wokovu wa Mungu umekaribia,
Nao wenye mwili watauona wokovu wa Mungu } *2
Dondokeni enyi mbingu toka juu uu,
Na mawingu yamumwage mwenye haki iii
Na! Na! nchi ifunukefunuke
bahari na iyumbeyumbe sasa
{ Miti nayo ichezecheze ichezecheze ichezecheze
Milima iyumbeyumbe kwa furaha mbele za Mungu,
Maana ametuokoa tumshangilie Mungu. } *2- Nchi imekombolewa aa,
Kwa kifo chake Mwokozi, Bwana hakika - Watu wamekombolewa aa,
Kwa kifo chake Mwokozi, Bwana hakika - Wale wasioamini iii ii,
Waamini waokoke, waache dhambi