Mbinguni Kwa Baba
Mbinguni Kwa Baba | |
---|---|
Performed by | - |
Category | Mafundisho ya Yesu |
Views | 15,521 |
Mbinguni Kwa Baba Lyrics
- {Mbinguni kwa Baba yangu makao ni mengi sana
Ya kwenda kwa Baba yangu njia naijua } *2{ Msalaba wangu mimi ni njia ya kweli
Msalaba wangu mimi utaniongoza } *2
Mbinguni . . . - Dunia ni moto kweli nategemea kwenda mbinguni
Hakika dunia hii sisi sote ni wapitaji - Twendeni kwa Baba yangu tukiwa na raha tele
Kwa kuwa kwa Baba yangu kuna makao ya raha.
Upendo Hai Choir