Mbinguni Kwa Baba

Mbinguni Kwa Baba
Choir-
CategoryMafundisho ya Yesu
SourceTanzania

Mbinguni Kwa Baba Lyrics

1.{Mbinguni kwa Baba yangu makao ni mengi sana
Ya kwenda kwa Baba yangu njia naijua } *2


{ Msalaba wangu mimi ni njia ya kweli
Msalaba wangu mimi utaniongoza } *2Mbinguni . . .

2. Dunia ni moto kweli nategemea kwenda mbinguni
Hakika dunia hii sisi sote ni wapitaji

3. Twendeni kwa Baba yangu tukiwa na raha tele
Kwa kuwa kwa Baba yangu kuna makao ya raha.
Upendo Hai Choir

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Sasa Wakati Umefika 7482439
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Zaeni Matunda Mema 5814860
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Huniongoza Mwokozi 5814856
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Tazama Tazama 7482442