Mbinguni Tutaimba
Mbinguni Tutaimba | |
---|---|
Performed by | Our Lady of Fatima Kongowea |
Album | Uninyunyizie Maji (vol. 2) |
Category | Tafakari |
Views | 9,098 |
Mbinguni Tutaimba Lyrics
Mbinguni tutaimba milele yote
Mbinguni tutaimba mbinguni tutasifu
Mbinguni tutacheza pamoja na malaika
Mbinguni tutaimba milele yote *2- Hosanna tutaimba kwake yeye mfalme
Hosanna tutaimba kwake yeye Mwokozi
Hosanna tutaimba kwake yeye masiya - Tutazunguka kile kile kiti cha enzi *2
Tusujudu abudu tuabudu mwana kondoo *2 - Tutaimba na mitume - mitume wote wa Mungu
Tutaimba na manabii - manabii wote wa Mungu - Tutaishi na Baba - Baba Mu-ngu wetu *2
Muumba wa Mbingu - mbingu pia dunia *2