Mbinguni Tutaimba

Mbinguni Tutaimba
ChoirOur Lady of Fatima Kongowea
AlbumUninyunyizie Maji (vol. 2)
CategoryTafakari

Mbinguni Tutaimba Lyrics

 1. Mbinguni tutaimba milele yote
  Mbinguni tutaimba mbinguni tutasifu
  Mbinguni tutacheza pamoja na malaika
  Mbinguni tutaimba milele yote *2

 2. Hosanna tutaimba kwake yeye mfalme
  Hosanna tutaimba kwake yeye Mwokozi
  Hosanna tutaimba kwake yeye masiya
 3. Tutazunguka kile kile kiti cha enzi *2
  Tusujudu abudu tuabudu mwana kondoo *2
 4. Tutaimba na mitume - mitume wote wa Mungu
  Tutaimba na manabii - manabii wote wa Mungu
 5. Tutaishi na Baba - Baba Mu-ngu wetu *2
  Muumba wa Mbingu - mbingu pia dunia *2