Mbio mbio
Mbio mbio | |
---|---|
Performed by | - |
Category | Injili na Miito (Gospel) |
Views | 11,280 |
Mbio mbio Lyrics
Mbio mbio mbio mbio itangazeni *2
Itangazeni injili ya Bwana *2 mbio- Wazee wengi wamepotea *2
Ni kazi yetu kuwatafuta *2 mbio - Vijana wengi wamepotea . . .
- Watoto wengi wamepotea . . .
- Wamama wengi wamepotea . . .