Mchanganyo
Mchanganyo Lyrics
Mchanganyo mchanganyo Bwana Yesu amekataa *2
- Kiburi kidogo unaweka, kanisani nako humo humo
Dharau kidogo unaweka, kanisani nako humo humo
Mchanganyo mchanganyo humo humo Bwana Yesu amekataa
Uwongo kidogo unaweka, kanisani nako humo humo
Fitina kidogo unaweka, kanisani nako humo humo
Mchanganyo mchanganyo humo humo Bwana Yesu amekataa
- Uchawi kidogo unaweka . . .
Hirizi kidogo unaweka. . .
Mchanganyo mchanganyo humo humo Bwana Yesu amekataa
Ulevi kidogo unaweka . . .
Ugomvi kidogo unaweka. . .
- Uchoyo kidogo unaweka. . .
Ulafi kidogo unaweka . . .
Mchanganyo mchanganyo humo humo Bwana Yesu amekataa
Kinyongo kidogo unaweka. . .
Tamaa kidogo unaweka. . .
Mchanganyo mchanganyo humo humo Bwana Yesu amekataa
- Suria kidogo unaweka . . .
Na wizi kidogo unaweka. . .
Mchanganyo mchanganyo humo humo Bwana Yesu amekataa
Kimini kidogo unavaa. . .
Na nguo za kubana unavaa. . .
- Dhuluma kidogo unafanya. .
Utoaji wa mimba unafanya. . .
Mchanganyo mchanganyo humo humo Bwana Yesu amekataa
Anasa kidogo unafanya. . .
Uzinzi kidogo unafanya. . .