Mezani Pake
Mezani Pake | |
---|---|
Performed by | Sauti Tamu Melodies |
Album | Zilipendwa |
Category | Ekaristia (Eucharist) |
Composer | F. A. Nyundo |
Video | Watch on YouTube |
Views | 10,840 |
Mezani Pake Lyrics
Mezani pake twendeni wote,
tukampokee ametualika *2- Mwili wake ni chakula kweli,
Damu yake kinywaji safi - Alaye mwili na kunywa damu,
Ana uzima wa milele - Mbele ya kwenda tujitakase,
Tutastahili kumpokea - Karibu Yesu ukae nasi,
Njia zako utufundishe - Na mwisho tufurahie nawe,
Katika utukufu wako