Mfanyieni Shangwe
| Mfanyieni Shangwe | |
|---|---|
| Performed by | - |
| Category | Entrance / Mwanzo |
| Composer | F. A. Nyundo |
| Views | 14,218 |
Mfanyieni Shangwe Lyrics
Mfanyieni shangwe dunia yote,
Na mtumikieni kwa furaha- Njooni mbele za Bwana kwa furaha
Jueni kwamba yeye ndiye Mungu - Alituumba sote watu wake
Sisi kondoo wa malisho yake - Piteni milangoni kwa shukrani
Daima shangilia jina lake