Mfanyieni Shangwe
Mfanyieni Shangwe | |
---|---|
Performed by | Our Lady of Fatima Kongowea |
Album | Kila Mwenye Pumzi (vol 4) |
Category | Entrance / Mwanzo |
Views | 7,686 |
Mfanyieni Shangwe Lyrics
Mfanyieni Shangwe (shangwe) dunia yote
Na mtumikieni kwa furaha (nyote) *2- Njoni mbele zake, zake kwa kuimba
Jueni kwamba Bwana ndiye Mungu *2 - Ndiye alituumba tu watu wake,
Watu wake na kondoo wa malisho yake *2 - Ingieni malangoni kwa kukushukuru
Nyuani mwake kwa kusifu - Mshukuruni lihimidini jina lake
Kwa kuwa Bwana ndiye mwema *2 - Na rehema zake ni za milele
Uaminifu wake vizazi na vizazi *2