Milele Milele Msifuni Bwana
| Milele Milele Msifuni Bwana | |
|---|---|
| Performed by | St. Paul Students' Choir (University of Nairobi) | 
| Album | Milele Milele Msifuni (Vol 1) | 
| Category | Entrance / Mwanzo | 
| Composer | J. C. Shomaly | 
| Views | 5,448 | 
Milele Milele Msifuni Bwana Lyrics
- |s| Milele milele msifuni Bwana, mi -le -le
 milele milele msifuni Bwana msifuni msifuni
 |t| Milele milele msifuni Bwana
 milele msifuni Bwana milele msifu msifuni
 |b|Milele milele Bwana msifuni
 |a| Milele milele msifuni
 [b] {Pazeni sauti semeni
 [w] Na ahimidiwe Bwana Mungu,
 Bwana Mungu kutoka Sayuni aleluya} *2
- Ninyi msimamao nyumbani mwa Bwana
 Sifuni jina lake Bwana
- Mlango wa Haruni msifuni Bwana
 Sifuni jina lake Bwana
- Sifuni Bwana kutoka sayuni
 Sifuni jina lake Bwana
 
  
         
                            