Mimi Mzabibu wa Kweli

Mimi Mzabibu wa Kweli
ChoirKwaya Kuu ya St. Cecilia Arusha
AlbumHaya Tazameni (Vol 21)
CategoryMafundisho ya Yesu
ComposerHanga
SourceSt. Theresa Cathedral Arusha Tanzania
ReferenceJn. 15

Mimi Mzabibu wa Kweli Lyrics


[s] Mimi mzabibu wa kweli, mimi mzabibu wa kweli,
Nanyi m matawi yangu, Baba yangu ni mkulima,
Mwenye kutunza shamba lake } *2
[s] Tawi lile lisilozaa
Baba yangu huliondoa, na kuliteketeza moto,
[s] Tawi lile linalozaa
Baba yangu hulisafisha, lidumu katika kuzaa
Hayo - hayo ni maneno ya Bwana Yesu }*21. Nyinyi mmekwisha, kuwa wasafi,
Kwa sababu ya neno, nililowaambia
Kaeni nami, ndani yangu,
Na mimi na mimi na mimi ndani yenu

2. Akaaye ndani yangu, huyo atazaa
Kwani nje yangu, hataweza kuzaa
Kama vile nje ya mzabibu,
Tawi halitaweza kamwe kuzaa.

3. Maneno yangu yakikaa ndani mwenu,
Ombeni lolote mtatendewa
Naye Baba yangu atatukuzwa,
Na nyinyi mtakuwa wanafunzi wangu

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Sasa Wakati Umefika 7482439
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Zaeni Matunda Mema 5814860
Huniongoza Mwokozi 5814856
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Tazama Tazama 7482442