Mimi Nashindwa
| Mimi Nashindwa | |
|---|---|
| Performed by | - | 
| Category | Thanksgiving / Shukrani | 
| Views | 4,016 | 
Mimi Nashindwa Lyrics
- Mimi nashindwa ni namna gani nikushukuruje
 Bwana (wangu), Kwani mema yote unayonitendea
 ni ya ajabu kwangu (mimi)
 Sikiliza Bwana kilio changu cha kukushukuru
 Ninakushukuru Bwana wangu
 mimi nakushukuru Nasema asante (sana) Baba
- Unitoe katika bonde la aibu,
 Uniweke katika kundi la kondoo wako
- Nilisifu daima jina lako wewe,
 Nikiwa ni shahidi niliye ndani ya Baba
 
  
         
                            