Mimi Ndimi Mwanzo
Mimi Ndimi Mwanzo | |
---|---|
Performed by | - |
Category | Mafundisho ya Yesu |
Views | 4,221 |
Mimi Ndimi Mwanzo Lyrics
- Mimi ndimi mwanzo tena mwisho Bwana kasema
Nitawaokoa watu wangu kwa dhambi zaoAsifiwe -asifiwe Bwana wa majeshi
Ameshinda -ameshinda dhambi za dunia
Utukufu -Utukufu uwe naye sasa
Tangu leo -tangu leo hata na milele mm - Kule kaburini alimfufua yule Lazaro
Tena akaokoa yule mama Msamaria - Kule Galilaya aligeuza maji divai,
Ukimwamini Yesu atageuza maisha yako