Mimi ni Mzabibu

Mimi ni Mzabibu
Performed bySt. Joseph Cathedral Dar-es-Salaam
CategoryMafundisho ya Yesu
Composer(traditional)
Views29,893

Mimi ni Mzabibu Lyrics

  1. Mimi ni mzabibu, mimi ni mzabibu
    Nanyi mu matawi yangu *2

  2. Kaeni ndani yangu, nami ndani yenu -
    Kwani mu matawi nami kweli ni mzabibu
  3. Nje yangu mimi hamuwezi kuzaa kwani . . .
  4. Tawi lizaalo, lizidi kuzaa kwani . . .
  5. Furaha yangu iwe, ndani yenu kwani . . .
  6. Ombeni lolote, nanyi mtapewa kwani . . .
  7. Amri yangu ndiyo, mpate kupendana kwani . . .
  8. Niliwachagua, muwe rafiki zangu kwani . . .
  9. Zaeni matunda, yapate kukaa kwani . . .