Mimi Nikushukuruje

Mimi Nikushukuruje
ChoirSt. Paul Students' Choir (University of Nairobi)
AlbumTazameni Miujiza (Vol 2)
CategoryThanksgiving / Shukrani
ComposerJ. C. Shomaly
Musical Notes
Timesignature3 8
MusickeyG Major

Mimi Nikushukuruje Lyrics[ s ] Mimi nikushukuruje Bwana -
[ w ] Mungu wangu nikushukuruje
[ s ] Kwa mema mengi umenijalia -
[ w ] Mungu wangu nikushukuruje
{ Umenipa uhai napendeza, umenipa nyumba pia watoto,
Nafikiri nikushukuruje Mungu wangu ninasema asante }*2


1. Umenijalia mali, nikutumikie wewe
Niwagawie maskini, wajane pia yatima

2. Umenipa na akili nitambue mambo yote
Mabaya niweke kando, mazuri nitumikie.

3. Umenipa na chakula kilichotoka mbinguni
Chenye kushibisha roho, ili nifike mbinguni.

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Sasa Wakati Umefika 7482439
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Zaeni Matunda Mema 5814860
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Huniongoza Mwokozi 5814856
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Tazama Tazama 7482442