Mimi Nimewachagua Ninyi

Mimi Nimewachagua Ninyi
Choir-
CategoryTafakari
ComposerFr. L. Malema
Musical Notes
Timesignature6 8
MusickeyE Flat Major

Mimi Nimewachagua Ninyi Lyrics


{ Mimi nimewachagua ninyi duniani
Mimi nimewachagua duniani } *2
{ Ili mpate kwenda kuzaa matunda
Na matunda yenu yadumu, yadumu, siku zote } *2


1. (Yesu alisema) si ninyi mlionichagua mimi,
Bali ni mimi nimewachagua ninyi

2. Nami nimewaweka kwenda kuzaa matunda
Na matunda yenu yadumu
Ili kwamba lolote mumwombalo Baba
Kwa jina langu awapeni

3. Iwapo ulimwengu utawachukia
Mjue kwamba umenichukia mimi
kabla ya kuwachukia ninyi.

4. Kama mngekuwa wa ulimwengu,
Ulimwengu ungeliwapenda
Lakini kwa kuwa ninyi si wa ulimwengu,
Bali mimi nimewachagua katika ulimwengu,
Kwa sababu hiyo ulimwengu utawachukia.

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Sasa Wakati Umefika 7482439
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Zaeni Matunda Mema 5814860
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Huniongoza Mwokozi 5814856
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Tazama Tazama 7482442