Mimi Ninapiga Picha
Mimi Ninapiga Picha Lyrics
- Mimi ninapiga picha mbinguni itakavyokuwa
Tutakapomwona mwokozi kwenye kiti cha enzi
Polo to wan wa mor *2
Mbinguni kutakuwa raha,
Polo to wan wa mor *2
- Siku hiyo ikifika sauti zetu tutapaza
Tukiimba nyimbo za shangwe
kwake mwenyezi Mungu
- Tutaruka kama ndama pamoja nao malaika
Tutacheza tukizunguka kiti chake cha enzi.
- Tutang'aa kama mwezi vyakula vingi tutakula
Tutakunywa tukifurahi naye mwanakondoo
- Ole wenu wenye dhambi mlango utakapofungwa
Nguvu zake yeye shetani Bwana atazishinda.