Mimi Niutazame

Mimi Niutazame
Performed bySt. Paul Students' Choir (University of Nairobi)
AlbumIkatetemeka Nchi (Vol 3)
CategoryEkaristia (Eucharist)
ComposerJiwe San
Views8,234

Mimi Niutazame Lyrics

  1. { Mimi niutazame - Mimi niutazame
    Mimi niutazame - niutazame (uso)
    Niutazame uso wako katika haki } *2
    { Niamkapo nishibishwe *3
    Nishibishwe kwa sura yako }*2

  2. Ewe Bwana nguvu zangu, nakupenda sana
    Mungu wangu Mwamba wangu, nakupenda sana
  3. Bwana Mungu wa majeshi, Mungu wa Israeli
    Mungu wangu Mwamba wangu, nakupenda sana