Mpendwa Wangu
Mpendwa Wangu | |
---|---|
Performed by | St. Paul Students' Choir (University of Nairobi) |
Album | Ikatetemeka Nchi (Vol 3) |
Category | Ekaristia (Eucharist) |
Composer | Bernard Kiundi |
Views | 5,748 |
Mpendwa Wangu Lyrics
{ Mpendwa wangu ni Yesu Kristu, rafiki wa moyo wangu,
Rafiki wa rafiki zangu, mkombozi wa roho yangu } *2
Kwa maana yeye hunilinda kunako hatari (zote)
Kula na kulala kwangu ajua yeye ndiye Mungu wangu
(Mungu) Mpendwa wangu (ni Yesu *5) ni Yesu tu- Ninaona fahari kubwa, kulitangaza Jina lako
Mpendwa wang ni Yesu, ni Yesu, ni Yesu, ni Yesu tu - Kila ninapokuwa na shida, huliitia jina lako
Mpendwa wang ni Yesu, ni Yesu, ni Yesu, ni Yesu tu - Umenikomboa ee Bwana, kwa damu yako msalabani
Mpendwa wang ni Yesu, ni Yesu, ni Yesu, ni Yesu tu