Mpeni Bwana Enyi Jamaa Zake
| Mpeni Bwana Enyi Jamaa Zake | |
|---|---|
| Performed by | - |
| Category | Zaburi |
| Composer | J. C. Shomaly |
| Views | 3,212 |
Mpeni Bwana Enyi Jamaa Zake Lyrics
[s] Mpeni Bwana enyi jamaa zake
[a] Mpeni Bwana utukufu *2
Mpeni Bwana utukufu, utukufu wa jina lake
(tetemekeni *3 mbele zake mpeni*2)- Mwimbieni Bwana wimbo mpya mwimbieni nchi yote
Wahubiri watu habari zake - Kwa kuwa Bwana ni mkuu mwenye kusifiwa
Na kuhofiwa kuliko miungu yote - Mwabuduni Bwana kwa uzuri, kwa uzuri wa utakatifu
Tetemekeni mbele zake Bwana